Pages

Thursday, April 5, 2012

SWISS BEATS CHEATING ALICIA KEYS


   Producer Swiss Beats amerudisha majeshi kwa mke wake wa zamani Mashonda kisiri siri bila mkewe kujua
Worse enough ni kwamba Mashonda alifunguka na kusema ni kweli and kwamba she is paying back to Alicia
akidai eti alianza date na Swiss wakati bado hajaachana nae.

Kweli wanaume hawaridhiki jamani mtoto kama Alicia Keys bado unaenda nje mmmh

No comments:

Post a Comment

wibiya widget