Pages

Wednesday, April 4, 2012

50 CENT KAJA NA LABEL MPYA (G-NOTE)


50 cent alisema G-unit ipo pale pale and dealing na mziki wa hip hop kama kawa lakini alisema G-note ni kwa
ajili ya kuwasadia wasanii wengine wanaoimba mziki tofauti na rap kama pop and r&b alikazia.Zoezi la kuwasignisha new artist lishaanza , but mmmmmmmh 50 na pop wapi na wapi au na yeye anaona hip hop aiuzi kama Madee nini  

No comments:

Post a Comment

wibiya widget