Producer Scott anashitakiwa na Treena Ruberg kuwa aliendelea kutumia madawa na hii ni baada ya kuzingua kufanya kazi ya mwanamama huyo wakati pesa kashachukuwa, Producer huyu amekuwa akishitakiwa sana kwa matumizi ya dawa za kulevya,Scott alikili kuchukuwa pesa ya mwanamama huyo na kusema atakuwa kashamaliza kazi iyo kabla ya october japo Treena aligoma na kutaka arudisjiwe pesa yake na fidia kwa muda alioupoteza na usumbufu wa kumtafuta producer mwingine
No comments:
Post a Comment