Ukiachana na kupigwa mkwala na management yake ya Roc nation ambayo ipo chini ya rapper Jay Z ili asiwe karibu na Chris, Rihana alifunguka na kusema kwamba hawezi kukaa mbali na Chris na alisema kwamba wamuacha aishi maishi yake and design kama alisema kwamba wanafanyisha kazi sana
No comments:
Post a Comment