Pages

Wednesday, April 25, 2012

JON MYUZIK - "2NITE" New Video (Bongo Flava)

Gwaii - Kazaa Kamua

AACUSA - Proud To Be (Official Music Video)

MON G ft. Dullayo - 'WAPI ULIPO'.mov

YUNG TZ


YUNG TZ



Hot Problems (official single) - Double Take


Spring Shoes You'll Love



Monday, April 16, 2012

WAKACHA


JACO- R.I.P KANUMBA

Africa Yetu - Bubele & Diana

Kanga moko - Dax feat. Dy (Official Video).flv

JJ FEAT MR BLUE - UMENIACHA ( EMPTYSOULZ ) OFFICIAL HD VIDEO

Gangwe Mobb ft. Dulayo - Ndio dawa yao (Official Video).flv

Mirry Candle - HD.flv

AT - Unatamani {Official Video}

Pah One - Amatita {Official Video}

C-SIR MADINI - NISHIKE MKONO (Official Video HD).mov

Thursday, April 5, 2012

Stamina, Young Dee, Country Boy ( Mtu Chee )- Mia (Official Video)

KANYE WEST FINALLY DATING KIM KARDASHIAN



Ukiachana na kwamba Kanye West alitoa ngoma akikielezea his fealing (Theraflu) to Kim, finally these two super stars are dating now walionekana wakihang out wote for a movie and Kanye aliadmit dat 

Chidi Benz ft Tinah - Kila Napokuona (New Video)

Wema akifunguka kuhusu diamond

SWISS BEATS CHEATING ALICIA KEYS


   Producer Swiss Beats amerudisha majeshi kwa mke wake wa zamani Mashonda kisiri siri bila mkewe kujua
Worse enough ni kwamba Mashonda alifunguka na kusema ni kweli and kwamba she is paying back to Alicia
akidai eti alianza date na Swiss wakati bado hajaachana nae.

Kweli wanaume hawaridhiki jamani mtoto kama Alicia Keys bado unaenda nje mmmh

Wednesday, April 4, 2012

Brianna Perry feat. Ghostwridah - Slight Work Remix [Official Video]

SCOTT STORCH KUSHITAKIWA TENA KWA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA



Producer Scott anashitakiwa na Treena Ruberg kuwa aliendelea kutumia madawa na hii ni baada ya kuzingua kufanya kazi ya mwanamama huyo wakati pesa kashachukuwa, Producer huyu amekuwa akishitakiwa sana kwa matumizi ya dawa za kulevya,Scott alikili kuchukuwa pesa ya mwanamama huyo na kusema atakuwa kashamaliza kazi iyo kabla ya october japo Treena aligoma na kutaka arudisjiwe pesa yake na fidia kwa muda alioupoteza na usumbufu wa kumtafuta producer mwingine

RIHANA KAGOMA KUKAA MBALI NA CHRIS BROWN


Ukiachana na kupigwa mkwala na management yake ya Roc nation ambayo ipo chini ya rapper Jay Z ili asiwe karibu na Chris, Rihana alifunguka na kusema kwamba hawezi  kukaa mbali na Chris na alisema kwamba wamuacha aishi maishi yake and design kama alisema kwamba wanafanyisha kazi sana 

50 CENT KAJA NA LABEL MPYA (G-NOTE)


50 cent alisema G-unit ipo pale pale and dealing na mziki wa hip hop kama kawa lakini alisema G-note ni kwa
ajili ya kuwasadia wasanii wengine wanaoimba mziki tofauti na rap kama pop and r&b alikazia.Zoezi la kuwasignisha new artist lishaanza , but mmmmmmmh 50 na pop wapi na wapi au na yeye anaona hip hop aiuzi kama Madee nini  

Jay Z Disses Chris Brown at the VMAs




Jigga acha mambo yako bwana leave Chris alone

wibiya widget