Pages

Wednesday, June 20, 2012

YOUNG MONEY WATAKA BEEF LA DRAKE NA CHRIS BROWN LIISHE

Beef la Drake na Chris Brown lime make headline katika vyombo vya habari vingi
Lil Wayne na management nzima ya YOUNG MONEY watametaka beef hilo
liishe kwa sababu wanaamini sio nzuri kwa biashara japo Drake anaonekana kuwa mgumu
kukubali 

No comments:

Post a Comment

wibiya widget