Rick Ross alisema kwamba MMG hawa shikiki katika Game,alisema ebu angalieni
mafanikio amboyo MMG imepata ndani ya mwaka mmoja na je vipi miaka 10 ijayo.Rozay
alisema hivi alipokuwa akifanya interview na Angie Martinez' katika show ya Hot 97 alipokuwa akipromote album yao mpya .Lakini Rozay aliendelela kufunguka na kusema kama MMG bado wanakazi kubwa ya kufanya ili kufikia mafanikio makubwa kama ya Young Money, Didy
No comments:
Post a Comment