Pages

Friday, March 30, 2012

STALLEY ATAMKA KWAMBA HAITAJI MSAADA WOWOTE KUTOKA KWA RICK ROSS

Stalley alitaka kwamba hataki msaada wowote kutoka kwa rapper Rick Rossaie kutoka MMG alipokuwa akifanya interview na BET.Alisema he wants watu wajue pamoja na mziki anaofanya and sio cause he looks like Rick interms of ndevu na kimapala its not like anacopy Rick swag ili kutumia mgongo wa Rick Ross kutoka,Jamaa alikanusha na kusema he just to him yeye kama Stalley na sio Rick

No comments:

Post a Comment

wibiya widget