Pages

Wednesday, March 21, 2012

MADAM RITA AWACHANA LIVE MASNITCH

Ilikuwa katika kipindi ya MKASI kinachorushwa na eatv.Kipindi hiki
kinaongozwa na Salam, Madam alifunguka ni jinsi gani watu wanvyokuwa
wanafika kwake ili waweze pata chochote kwake. Madam hakuwataja watu
hao kwa majina lakini alimmwagia sifa nyingi  Salam kama ni mtu ambaye yupo
so straight forward kama unakosea anakuchana live bila kujali what will
loose au utafiria vipi
 Madam pia alifunguka pia ni jinsi gani anachukizwa na tabia watu wanaoleta
sana kujuana. Alisema yani mtu anakuganda mpaka anakukwaza just because anakujua

No comments:

Post a Comment

wibiya widget