Richa ya Man Untd kutochukua kombe la Primier League,bado Man U ndo club tajiri duaniani. Kwa uchunguzi uliofanywa na gazeti la Forbes manchester inakadiriwa na thamani ya dola billioni 2.23. Club ya pili ni Real Madrid ina thamani ya dolla billioni 1.88